Idara ya Fedha

Wajibu wa Idara ya Fedha ni kusimamia fedha za jimbo. Inapatikana katika Ofisi yetu kuu katika Jacaranda.

Wafanyakazi

Devule Mwambije - Mkuu wa Idara

Tabia Mwahalende – Mhasibu
Mwitishilwa Kalengo
Nsubisi Syambwa

Maria Sikana


Mawasiliano

Kanisa la Moravian Tanzania - Jimbo la Kusini Magharibi
Idara ya Fedha

S.L.P. 377
Mbeya
Tanzania

Simu: +255 025 2502643
Kiswahili