Idara ya Rasilimali za Watu

Idara ya Rasilimali watu ilikuwa idara rasmi ya kujitegemea mwaka 2017. Inashughulikia ajira na masuala ya kisheria ya jimbo hilo. Iko katika Ofisi yetu kuu katika Jacaranda na inaongozwa na Mch. Nsevilwe Msyaliha.


Mawasiliano

Kanisa la Moravian Tanzania - Jimbo la Kusini Magharibi
Idara ya Rasilimali za watu

S.L.P. 377
Mbeya
Tanzania                                                                         
Simu:  +255 025 2502643
Kiswahili