Idara ya Uinjilisti na kwaya

Idara ya Uinjilisti na Kwaya inasimamia vikundi mbali mbali na kusimamia namna ya uimbaji na uenezaji wa neno la Mungu katika maadili mema. Kila usharika angalau una kwaya moja ya kuhudumia  Jumapili, kuna kwaya zaidi ya 130 katika jimbo.

Kwaya mbili kutoka Mbeya zilikwenda Uswisi kwa ajili ya ziara mwezi Juni 2012, zilialikwa na Swiss Faith-based Organization Mission 21:Vivutio kutoka kwenye kwaya yetuKatibu wa Idara ya Uinjilisti na Kwaya - Mch. Anyandwile Kajange
Mawasiliano

Kanisa la Moravian Tanzania - Jimbo la Kusini Magharibi
Idara ya Uinjilisti na Kwaya
S.L.P. 377
Mbeya
Tanzania

Simu: +255 763 943101
Kiswahili