Idara ya Uinjilisti, Misheni, Ufuasi na Maombi

Idara ya Uinjilisti, Misheni, Ufuasi na Maombi ni idara inayojishughulisha na shughuli zote zinazohusu uenezaji wa neno la Mungu na uendeshaji wa shughuli zote za utendaji zinazohusu uinjilisti katika Kanisa.

Katibu wa Idara ya Uinjilisti ufuasi na maombi huteuliwa na kamati tendaji miongoni mwa Wachungaji wenye vipawa vya uinjilisti.


WAJIBU WA IDARA
1. Katibu wa Idara ndiye msimamizi mkuu wa shughuli zote za Idara.
2. Idara ya uinjisti ndiyo Idara inayohusika na mafundisho ya uinjilisti na Misheni.
3. Kusimammia kamati za uinjilisti za jimbo.
4. Kutafuta na kutayarisha vifaa mbalimbali kwa ajili ya kazi ya kutangaza neno la Mungu.
5. Kuandaa Warsha, Semina na kozi zinazohusu uinjilisti.



Mch. Paul S. Mwambalaswa - Katibu wa Idara ya Uinjilisti, Misheni, Ufuasi na Maombi- KMT-JKM

Mawasiliano

Kanisa la Moravian Tanzania - Jimbo la Kusini Magharibi
S.L.P. 377

Mbeya
Tanzania

Barua Pepe: mwambalaswapaul@gmail.com
Simu: +255 766505969 / +255 733587645
Kiswahili